-
Yohana 14:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Pia, nikishika njia yangu kwenda na kuwatayarishia nyinyi mahali, mimi ninakuja tena na hakika nitawapokea nyinyi nyumbani kwangu mwenyewe, ili mahali nilipo nyinyi pia mpate kuwa.
-