-
Yohana 14:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yeye aliye na amri zangu na kuzishika, huyo ndiye ambaye hunipenda. Naye anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu, nami hakika nitampenda na hakika nitajionyesha wazi kwake.”
-