-
Yohana 16:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 Tazameni! Saa inakuja, kwa kweli, imekuja, wakati mtakapotawanyika kila mmoja hadi kwenye nyumba yake mwenyewe nanyi mtaniacha peke yangu; na bado mimi siko peke yangu, kwa sababu Baba yuko pamoja nami.
-