-
1 Wakorintho 4:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Sisi ni wapumbavu kwa sababu ya Kristo, lakini nyinyi ni wenye busara katika Kristo; sisi ni dhaifu, lakini nyinyi ni wenye nguvu; nyinyi mna sifa njema, lakini sisi tumo katika kufedheheshwa.
-