-
Wakolosai 4:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Aristarko mateka mwenzangu awapelekea nyinyi salamu zake, na ndivyo pia Marko binamu ya Barnaba, (ambaye mlizipokea amri kuhusu yeye ili mmkaribishe iwapo aja kwenu,)
-