-
2 Timotheo 1:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 lakini sasa imefanywa dhahiri kabisa kupitia udhihirisho wa Mwokozi wetu, Kristo Yesu, ambaye amebatilisha kifo lakini ambaye ametoa nuru juu ya uhai na kutoharibika kupitia habari njema,
-