-
2 Timotheo 3:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Kwa maana kutoka kwa hawa kwainuka watu wale wajipenyezao kwa ujanja kuziingia nyumba na kuwachukua kuwa mateka wao wanawake walio dhaifu wenye kulemezwa mizigo ya dhambi, wenye kuongozwa na tamaa za namna mbalimbali,
-