-
2 Petro 2:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 kwa maana mtu huyo mwadilifu kwa yale ambayo aliona na kusikia alipokuwa akikaa katikati yao siku baada ya siku alikuwa akiitesa nafsi yake yenye uadilifu kwa sababu ya vitendo vyao vya kuasi sheria—
-
-
2 Petro 2:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 kwa maana mtu huyo mwadilifu kwa yale ambayo aliona na kusikia alipokuwa akikaa miongoni mwao kutoka siku hadi siku alikuwa akitesa-tesa nafsi yake yenye uadilifu kwa sababu ya vitendo vyao vya kuasi sheria—
-