-
Ufunuo 6:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Na alipofungua muhuri wa tatu, nikasikia kiumbe hai wa tatu akisema: “Njoo!” Nami nikaona, na, tazama! farasi mweusi; na yeye aketiye juu yake alikuwa na jozi ya mizani mkononi mwake.
-