-
Ufunuo 14:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Na bado malaika mwingine akaibuka kutoka katika madhabahu naye alikuwa na mamlaka juu ya moto. Naye akapaaza kilio kwa sauti kubwa akamwita yule aliyekuwa na mundu mkali, akisema: “Tia ndani mundu wako mkali ukusanye vichala vya mzabibu wa dunia, kwa sababu zabibu za huo zimekuwa mbivu.”
-