Maelezo ya Ziada
^ 3. Njia moja ambayo michango tunayopata hutumika ni kuwapatia kitulizo waliokumbwa na misiba. (Matendo 11:27-30) Kwa kuwa kazi hiyo hufanywa na wajitoleaji wasiolipwa, pesa tunazopata hutumiwa hasa kutoa msaada na si kulipa mishahara.