Maelezo ya Ziada
^ [1] (fungu la 4) Inawezekana siku ya Pentekoste ililingana na siku ambayo Sheria ilitolewa katika Mlima Sinai. (Kut. 19:1) Ikiwa ndivyo, basi Yesu Kristo aliliingiza taifa jipya, yaani Israeli wa Kiroho, kwenye agano jipya katika siku iliyolingana na ile ambayo Musa aliwaingiza Waisraeli katika agano la Sheria.