Maelezo ya Ziada
^ [1] (fungu la 12) Wengine waliosuluhisha matatizo kwa amani ni pamoja na: Yakobo, na Esau (Mwa. 27:41-45; 33:1-11); Yosefu, na ndugu zake (Mwa. 45:1-15); na Gideoni, na watu wa Efraimu. (Amu. 8:1-3) Huenda ukafikiria mifano mingine kama hiyo iliyoandikwa katika Biblia.