Maelezo ya Ziada
^ [1] (fungu la 7) Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo Yesu alizungumzia: (1) Hubiri ujumbe unaofaa. (2) Ridhika na maandalizi ya Mungu. (3) Epuka kubishana na wenye nyumba. (4) Mtegemee Mungu unapokabiliana na wapinzani. (5) Usiogope.