Maelezo ya Chini
Kipimo cha kawaida cha mkono mmoja kililingana na sentimita 44.5 (inchi 17.5), lakini baadhi ya watu wanahisi kwamba “kipimo cha awali” kinarejelea kipimo cha mkono mrefu ambacho kililingana na sentimita 51.8 (inchi 20.4). Angalia Nyongeza B14.