Maelezo ya Chini
a Katika United States, hakuna yeyote chini ya miaka 17 anayepaswa kuruhusiwa (isipokuwa akienda na mzazi au mlezi) kwa sinema yoyote iliyokadiriwa kuwa ya R, au yenye kuwekewa vizuizi fulani, na Motion Picture Association ya Amerika. Sinema za aina hiyo kwa ujumla huwa na picha za jeuri ya wazi, lugha chafu, au picha za ngono za wazi na za uchi. Lakini kwa kawaida, vizuizi hivyo havitiliwi mkazo, na vijana hukubaliwa waingie.