Maelezo ya Chini
a Kulingana na kitabu Helping Your Teenager Deal With Stress, wengine huamini kwamba “migongano ya motokaa ni njia inayotumiwa mara nyingi sana na vijana wenye umri mkubwa zaidi wanaojiua.” Kwa kuwa misiba ya magari huwa kwa ujumla haihesabiwi kuwa kujiua, tarakimu za vijana kujiua huenda zikawa zinapunguzwa mno.