Maelezo ya Chini
a Idadi inayoongezeka ya wanafunzi wanaofanya kazi imeitwa “ajabu ambayo ni ya Kiamerika hasa.” (When Teenagers Work, ya Ellen Greenberger na Laurence Steinberg) Vijana katika mabara mengineyo huwekelewa mizigo ya kielimu, na mara nyingi nafasi za kazi ni chache. Walakini, makala hii bila shaka itapendeza vijana wengi katika mabara yaliyo na nafasi za kazi. Makala ya wakati ujao itashughulika na hali katika mabara yanayoanza kusitawi.