Maelezo ya Chini
a Nyumba zenye mzazi mmoja ziongozwazo na baba huwa na hali bora kiuchumi kuliko zile ziongozwazo na mama kwa sababu (1) wanaume huchuma zaidi ya wanawake na (2) baba wasiopewa utunzaji wa watoto mara nyingi hukosa kulipa wake zao pesa walizoamriwa na mahakama kulipa au hukosa kulipa pesa za utunzaji wa watoto.