Maelezo ya Chini
a Kimbunga ni “tufani ya chamchela inayofanyizwa juu ya Bahari ya Atlantiki Kaskazini ambacho katika hicho upepo mwingi hupata mwendo zaidi ya kilometa 121 kwa saa.” (The Concise Columbia Encyclopedia) Tufani ni “kimbunga kinachotokea katika magharibi mwa Pasifiki au Bahari ya China.”—The American Heritage Dictionary of the English Language.