Maelezo ya Chini
b Wengi wamenufaishwa na msaada wa matabibu na washauri waliozoezwa kushughulikia uzoevu wa kileo. Wataalam fulani huamini kwamba mpaka tabia yenye uzoevu yenyewe iwe imekomeshwa, kazi ifanywayo juu ya pande nyingine za kupona haiwezi kufanikiwa hata kidogo. Kwa sababu hiyo na nyinginezo, baadhi yao hupendekeza kwamba wazoevu wa kileo waingie katika programu ya kuondoa kileo katika mwili hospitalini au katika kliniki.