Maelezo ya Chini
a Tukisema kihalisi, karne ya 21 itaanza mnamo Januari 1, 2001. Hata hivyo, matumizi ya kawaida huona karne ya 1 kuwa yaanzia mwaka wa 1 hadi wa 99 (hakukuwa na mwaka 0); karne ya 2, kutoka mwaka wa 100 hadi wa 199; na kufuatana na hiyo, karne ya 21, yaanzia mwaka wa 2000 hadi wa 2099.