Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Yesu hasa aliwaambia wapinzani wake hivi: “Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha.” (Yohana 2:19-22) Lakini kama vile Yohana anavyotaja, Yesu hakuwa akirejezea hekalu katika Yerusalemu, bali alikuwa akirejezea “hekalu la mwili wake.” Kwa njia hiyo Yesu alikuwa akilinganisha kifo chake na ufufuo wake uliokuwa ukija na kuvunjwa na kujengwa tena kwa jengo.—Linganisha Mathayo 16:21.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki