Maelezo ya Chini
c Kushiriki hatia jinsi hiyo kumeonekana katika nyakati za kisasa vilevile. Si raia wote wa Ujerumani wa Nazi waliohusika moja kwa moja katika ukatili uliofanywa. Hata hivyo, Ujerumani ilitambua kwamba ilikuwa na hatia ya jumuiya na kwa hiari ikajitoa kuwalipa ridhaa wale waliopatwa na mnyanyaso wa Nazi.