Maelezo ya Chini
c Aliyekuwa mpasuaji mkuu wa United States Dakt. C. Everett Koop alijibu wenye kutilia shaka kwa kusema: “Visa vya kwanza vya UKIMWI viliripotiwa katika nchi hii 1981. Kufikia sasa tungekuwa tumejua kama UKIMWI hupitishwa kwa kuwa pamoja kwa kawaida kusiko kwa kingono.”