Maelezo ya Chini
b Ingawa wengi watendao watoto vibaya walitendwa vibaya wakiwa watoto, hilo halimaanishi kwamba kutendwa vibaya hufanya watoto wawe watenda vibaya. Watoto waliotendwa vibaya wanaopungua theluthi moja huja kuwa watenda watoto vibaya.