Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kuhusu neno la Kiebrania lililofasiriwa “kuomboleza,” Theological Wordbook of the Old Testament hutaarifu hivi: “Wote waliohisi potezo la aliyeondoka walikuwa wakija kushiriki kihoro chao pamoja na washirika wa ile familia. . . . Vikelele vyembamba au mayowe mara nyingi viliandamana na kule kuomboleza.”[4] Kwa habari ya neno la Kiebrania la ‘lia,’ kitabu hichohicho chaeleza hivi: “Ijapokuwa machozi hushirikishwa na macho, kulia hushirikishwa na sauti; Washemu hawalii kwa unyamavu, bali kwa sauti. . . . Katika A[gano la] [K]ale lote kulia ndiyo njia ya kiasili na ya hiari ya kuonyesha hisia chungu.”[5]

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki