Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yafaa kuangaliwa kwamba mtume Paulo aliyekuwa na elimu sana alichagua kujitegemeza katika huduma kwa kutengeneza hema, kazi ambayo huenda alijifunza kutoka kwa babake. Kazi ya kutengeneza hema haikuwa rahisi. Nguo ya ngozi ya mbuzi, iitwayo cilicium, ilikuwa ngumu na yenye kuparuza, jambo lililofanya iwe vigumu kukatwa na kushonwa.—Matendo 18:1-3; 22:3; Wafilipi 3:7, 8.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki