Maelezo ya Chini
a Uchunguzi umeonyesha kwamba wengi kufikia nusu ya wagonjwa wa Tourette wanapatwa na dalili zipitazo kiasi zisizozuilika, na nusu nyingine huonyesha dalili za Kasoro ya Upungufu Kutokana na Utendaji wa Kupita Kiasi. Uhusiano kati ya matatizo haya na ugonjwa wa Tourette bado unafanyiwa utafiti.