Maelezo ya Chini
b Mwandikaji wa Biblia Ezekieli alishuhudia kile ambacho watu wengine wamefikiria kuwa ni UFO. (Ezekieli, sura 1) Lakini, hiyo ilikuwa ni mojayapo maono mengi ya mfano yanayofafanuliwa na Ezekieli na manabii wengine, si mwono halisi kwa macho kama idaiwavyo katika nyakati za kisasa.