Maelezo ya Chini
a Kulingana na kronolojia ya Jumuiya ya Wakristo, mwaka huo ulitia alama mwaka wa 1,900 wa kuandikwa kwa kitabu cha Ufunuo (Kigiriki, a·po·kaʹly·psis) kwenye kisiwa cha Patmosi. Uthibitisho wenye kutegemeka huonyesha kwamba Ufunuo kiliandikwa katika 96 W.K.