Maelezo ya Chini a Ingawa twamrejezea mkosaji kuwa mwanamume, kanuni zilizopo hapa zatumika sawasawa kwa wanawake.