Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Ili kustahili kutumikia au kuendelea kutumikia akiwa mzee, mwanamume hapaswi kuwa mpiganaji. Hawezi kuwa yule ambaye apiga watu kimwili au kuwadhulumu kwa maneno yenye kuumiza. Wazee na watumishi wa huduma wanapaswa kusimamia nyumba zao kwa njia nzuri. Haidhuru hata atende kwa fadhili namna gani katika hali nyinginezo, mwanamume hastahili ikiwa yeye ni mtawala mkatili nyumbani.—1 Timotheo 3:2-4, 12.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki