Maelezo ya Chini
b Matazamio ya kupata nafuu ni bora kwa watoto kuliko kwa watu wazima. Mwanatiba wa usemi mwenye uzoefu Ann Irwin aeleza katika kitabu chake Stammering in Young Children: “Watatu kati ya watoto wanne hushinda kigugumizi chao wenyewe. Ikiwa mtoto wako ni mmoja wa wale asilimia ishirini na tano ambao hawashindi kigugumizi chao wenyewe, kuna uwezekano mkubwa kuwa atakishinda kwa Tiba ya Kuzuia.”