Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Majaribio yalifanywa ili kuimarisha vizuizi hivi kwa kupotoa Maandiko. Ingawa Biblia haisemi jambo lolote kama hilo, mwanatheolojia mwenye uvutano Tertullian alifundisha kwamba kwa kuwa mwanamke ndiye aliyesababisha “dhambi ya kwanza, na makuruhu . . . ya kuteseka kwa wanadamu,” wanawake wanapaswa “kutembea kama Hawa wakiomboleza na kutubu.” Hata alisisitiza kwamba mwanamke mrembo kiasili hata apaswa kuficha urembo wake.—Linganisha Waroma 5:12-14; 1 Timotheo 2:13, 14.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki