Maelezo ya Chini
a Jambo hili halikuwashusha wanawake kuwa washiriki wa familia wa tabaka la pili waliostahili kufanya kazi nyumbani au mashambani tu. Ufafanuzi wa “mke mwema” katika Mithali hufunua kwamba mwanamke aliyeolewa licha ya kusimamia nyumba yake angeweza pia kuendesha biashara zilizohusu mali isiyohamishika, angetafuta shamba lenye kuzalisha, na kuendesha biashara ndogo.— Mithali 31:10, 16, 18, 24.