Maelezo ya Chini
e Neno DOTS ni ufupi wa maneno directly observed treatment, short-course (tiba ya muda mfupi ya kuzingatia na kutazama wagonjwa). Kwa habari zaidi juu ya mbinu ya DOTS, ona makala “Kinga Mpya Dhidi ya Kifua Kikuu,” katika Amkeni! la Mei 22, 1999.