Maelezo ya Chini
b Zinapoalikwa, Halmashauri za Uhusiano na Hospitali hutolea wafanyakazi wa hospitali mihadhara. Kwa kuongezea, msaada wao ukihitajika kihususa, wanasaidia wagonjwa wawe na mawasiliano ya mapema, ya wazi na yenye kuendelea pamoja na tabibu anayehusika.