Maelezo ya Chini
c Mashirika hayo sita ni UNICEF, Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo, Hazina ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa, Shirika la Afya Ulimwenguni, Benki ya Dunia, na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni. Shirika la UNAIDS lilianzishwa mwaka wa 1995.