Maelezo ya Chini
b Makundi haya 48 ya nyota yalijulikana katika Mesopotamia, Mediterania, na Ulaya. Baadaye, yalijulikana pia na wale waliohamia Amerika Kaskazini na Australia. Hata hivyo, watu wengine, kama vile Wachina na Wahindi wa Amerika ya Kaskazini walifuata mpangilio tofauti wa kugawa anga.