Maelezo ya Chini
c Matarajio ya muda wa kuishi ya mtu mwenye HD ni miaka 15 hadi 20 hivi baada ya dalili kutokea, ijapokuwa wengine huishi muda mrefu zaidi. Katika visa vingi kifo husababishwa na nimonia, kwa kuwa mgonjwa hushindwa kukohoa vya kutosha ili kuondoa maambukizo kifuani.