Maelezo ya Chini
a Ripoti Not in the Public Interest—Local TV News in America ni uchunguzi wa nne wa kitaifa wa kila mwaka wa mambo yaliyo katika habari. Imekusanywa na Dakt. Paul Klite, Dakt. Robert A. Bardwell, na Jason Salzman, wa shirika la Rocky Mountain Media Watch.