Maelezo ya Chini
a Wareno na Wahispania walipotia sahihi Mkataba wa Tordesillas mwaka wa 1494, waligawanya nchi hiyo kuelekea magharibi ya Atlantiki Kusini. Kwa hiyo, wengine husema kwamba Cabral alifunga safari ili kutwaa nchi ambayo tayari ilikuwa ya Ureno.