Maelezo ya Chini
a Kuna tofauti kati ya kukata kwa ajili ya kitiba au hata kwa makusudi ya sanaa na kujikatakata kwa kulazimishwa au kujikatakata ambako vijana wengi hufanya, hasa wasichana matineja. Kujichanja kunakotajwa hapa huwa ni ishara ya mkazo mbaya sana wa kihisia-moyo au kutendwa vibaya, ambako huenda kukahitaji kushughulikiwa na wataalamu.