Maelezo ya Chini
a Dalili zatofautiana, na baadhi ya dalili za maradhi ya Chagas ni dalili za maradhi mengine pia. Kwa hiyo, dalili hizo ni za jumla wala hazikusudiwi kutumiwa ili kutambulisha ugonjwa huo. Watu wengi hawana dalili zozote hadi maradhi yafikiapo hatua ya kudumu.