Maelezo ya Chini
a Katika hali hiyo, mshipa wa damu wa upande wa kushoto wa moyo huwa mahali pa mshipa unaopeleka damu mapafuni. Hivyo, damu yenye oksijeni nyingi inayopasa kusambazwa mwilini hupelekwa tu kwenye mapafu. Kisa kama hicho kiliripotiwa kwenye toleo letu la Kiingereza la Aprili 8, 1986, ukurasa wa 18-20.