Maelezo ya Chini
a Vitu vinne vifuatavyo vyahusika katika mchezo huo: jengo, mlingoti, daraja na genge. Mchezo huo wa kuruka kwa mwavuli kutoka kwa majengo, madaraja na magenge ni hatari sana hivi kwamba umepigwa marufuku na shirika la Marekani la Huduma ya Kitaifa ya Hifadhi ya Wanyama.