Maelezo ya Chini
a Ukiendelea kuhisi huzuni, huenda hiyo ikawa dalili ya kasoro kubwa ya kihisia-moyo au ya kimwili. Inapendekezwa utafute msaada wa kitiba bila kukawia. Ona makala “Kulishinda Pigano Dhidi ya Mshuko wa Moyo,” katika toleo la Mnara wa Mlinzi la Machi 1, 1990, lile jarida letu jingine.