Maelezo ya Chini
b Mtawala wa Manjano, alikuwa mtawala mashuhuri sana kabla ya nasaba ya Zhou, na inadhaniwa kuwa alitawala kuanzia mwaka wa 2697 K.W.K hadi mwaka wa 2595 K.W.K. Hata hivyo, wasomi wengi wanaamini kwamba kitabu Nei Jing kiliandikwa mwishoni mwa nasaba ya Zhou, iliyotawala kuanzia mwaka wa 1100 K.W.K hivi hadi mwaka wa 250 K.W.K.