Maelezo ya Chini
a Mpaka wa Mabara ni sehemu ndefu iliyoinuka inayoenea kutoka Amerika Kaskazini hadi Kusini. Mito kutoka sehemu zote mbili hutiririka pande tofauti kabisa—kuelekea kwenye Bahari ya Pasifiki na kuelekea Bahari ya Atlantiki, Ghuba ya Mexico, na Bahari ya Aktiki.